Mkutano wa ufunguzi – Morogoro

Mkutano wa ufunguzi wa mradi wa Vegi-Leg ulifanyika katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine kilichopo Morogoro, Tanzania. Takriban wanasayansi 25 kutoka kada mbalimbali za kisayansi kama vile wataalamu wa lishe, wanasayansi wa kilimo, wanasayansi wa teknolojia ya chakula, wataalamu wa mifugo na wachumi walijadili maudhui ya mradi huo kuanzia tarehe 4 hadi 6 Februari 2019.

http://www.zalf.de/en/aktuelles/Pages/
Pressemitteilungen/Vegi_Leg.aspx

Picha ya pamoja ya wahudhuriaji wa mkutano wa ufunguzi Vegi-leg katika chuo kikuu cha Sokoine, Morogoro, Tanzania

Picha ya pamoja ya wahudhuriaji wa mkutano wa ufunguzi Vegi-leg katika chuo kikuu cha Sokoine, Morogoro, Tanzania